Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu chochote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.
2 Wakorintho 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa ajili ya kitu hicho nilimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Biblia Habari Njema - BHND Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Neno: Bibilia Takatifu Kwa habari ya jambo hili, nilimsihi Mwenyezi Mungu mara tatu aniondolee mwiba huu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana Isa mara tatu aniondolee mwiba huu. BIBLIA KISWAHILI Kwa ajili ya kitu hicho nilimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke. |
Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu chochote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.
Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;
Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha.