Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.
2 Wakorintho 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.” Biblia Habari Njema - BHND Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu”. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu.” BIBLIA KISWAHILI Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu. |
Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.