Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga;
2 Wakorintho 11:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa Wayahudi mara tano nilipata mapigo arubaini kasoro moja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Biblia Habari Njema - BHND Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Neno: Bibilia Takatifu Mara tano nimepigwa na Wayahudi mijeledi arobaini kasoro moja. Neno: Maandiko Matakatifu Mara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja. BIBLIA KISWAHILI Kwa Wayahudi mara tano nilipata mapigo arobaini kasoro moja. |
Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga;
Nanyi jihadharini nafsi zenu; maana watawapeleka ninyi mabarazani; na katika masinagogi mtapigwa; nanyi mtachukuliwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao.
Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya bwana wake, asijiweke tayari, wala kuyatenda mapenzi yake, atapigwa sana.