Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.
2 Wafalme 6:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua. Biblia Habari Njema - BHND Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elisha akamwamuru alichukue naye akanyosha mkono, akalichukua. Neno: Bibilia Takatifu Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyoosha mkono wake, akalichukua. Neno: Maandiko Matakatifu Akasema, “Lichukue.” Kisha yule mtu akanyoosha mkono wake, akalichukua. BIBLIA KISWAHILI Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa. |
Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.
Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Nenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.
Mtu wa Mungu akasema, Kilianguka wapi? Akamwonesha mahali. Akakata kijiti, akakitupa pale pale, chuma kikaelea.
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako, kamshike mkia; (akaunyosha mkono wake akamshika, naye akageuka kuwa fimbo mkononi mwake;)
Akampa mkono, akamwinua; hata kisha akawaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, akiwa hai.