Wakasafiri kutoka Betheli, na kabla ya kufika Efrata, Raheli akashikwa na uchungu wa kuzaa, na uchungu wake ulikuwa mkali.
2 Wafalme 5:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Elisha akamwambia, Nenda kwa amani. Lakini Naamani alipokuwa ameenda mbali kidogo, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali, Biblia Habari Njema - BHND Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Naamani akaenda zake. Alipokuwa bado hajaenda mbali, Neno: Bibilia Takatifu Al-Yasa akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani, Neno: Maandiko Matakatifu Al-Yasa akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani, BIBLIA KISWAHILI Elisha akamwambia, Nenda kwa amani. Lakini Naamani alipokuwa ameenda mbali kidogo, |
Wakasafiri kutoka Betheli, na kabla ya kufika Efrata, Raheli akashikwa na uchungu wa kuzaa, na uchungu wake ulikuwa mkali.
Basi Musa akaenda na kurejea kwa Yethro mkwewe, na kumwambia, Nipe ruhusa niende, nakusihi, niwarudie hao ndugu zangu walioko Misri, nipate kuwaona kwamba wako hai hata sasa. Yethro akamwambia Musa, Haya, nenda kwa amani.
Akamwambia, Binti, imani yako imekuponya, nenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena.
Niliwanywesha maziwa sikuwalisha chakula; kwa kuwa mlikuwa hamjakiweza. Naam, hata sasa hamkiwezi,
Ndipo Eli akajibu, akasema, Nenda kwa amani; na Mungu wa Israeli akujalie haja yako uliyomwomba.
Basi Daudi akapokea mkononi mwake vitu vile alivyomletea; akamwambia, Haya! Kwea kwa amani kwenda nyumbani kwako; tazama, nimeisikiliza sauti yako, nami nimelikubali ombi lako.