2 Wafalme 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Biblia Habari Njema - BHND Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni. BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. |
Akasema, Panapo wakati huu mwakani, utamkumbatia mwana. Akasema, La! Bwana wangu, wewe mtu wa Mungu, usiniambie mimi mjakazi wako uongo.