Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
2 Wafalme 4:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Biblia Habari Njema - BHND Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Neno: Bibilia Takatifu Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. Neno: Maandiko Matakatifu Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. BIBLIA KISWAHILI Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. |
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.
Hata ikawa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.