Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na machukizo ya mataifa, aliowafukuza BWANA mbele ya wana wa Israeli.
2 Wafalme 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake. Biblia Habari Njema - BHND Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake. Neno: Bibilia Takatifu Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya. Neno: Maandiko Matakatifu Akafanya maovu machoni pa bwana, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya. BIBLIA KISWAHILI Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake. |
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na machukizo ya mataifa, aliowafukuza BWANA mbele ya wana wa Israeli.
Akaiendea njia yote aliyoiendea baba yake, akazitumikia sanamu alizozitumikia baba yake, akaziabudu.
Wakati ule watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.
Naye akaenda huku na huko kati ya simba, akawa mwanasimba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.