Basi mambo yote ya Yehoyakimu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
2 Wafalme 24:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia akatawala mahali pake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake. Biblia Habari Njema - BHND Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake. Neno: Bibilia Takatifu Yehoyakimu akalala na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake. Neno: Maandiko Matakatifu Yehoyakimu akalala pamoja na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake. BIBLIA KISWAHILI Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia akatawala mahali pake. |
Basi mambo yote ya Yehoyakimu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
Juu yake akakwea Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akamfunga kwa pingu, amchukue mpaka Babeli.
Basi mambo yote ya Yehoyakimu yaliyosalia, na machukizo yake aliyoyafanya, nayo yaliyoonekana kwake, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda; na Yekonia mwanawe akatawala mahali pake.
Kama niishivyo mimi, asema BWANA, hata Konia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, angekuwa pete yenye mhuri katika mkono wangu wa kulia, ningekung'oa wewe hapo;
Basi, BWANA aseme hivi, kuhusu Yehoyakimu, mfalme wa Yuda; Hatakuwa na mtu wa kukaa katika kiti cha enzi cha Daudi; na maiti yake itatupwa nje wakati wa mchana ipigwe na joto, na wakati wa usiku ipigwe na baridi.