Uisikie dua ya mtumwa wako, na ya watu wako Israeli, watakapoomba wakikabili mahali hapa; naam, sikia huko mbinguni, makao yako; nawe usikiapo, samehe.
2 Wafalme 20:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema, Biblia Habari Njema - BHND Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema, Neno: Bibilia Takatifu Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Mwenyezi Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba bwana: BIBLIA KISWAHILI Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema, |
Uisikie dua ya mtumwa wako, na ya watu wako Israeli, watakapoomba wakikabili mahali hapa; naam, sikia huko mbinguni, makao yako; nawe usikiapo, samehe.
Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeneza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.
Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.
Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.