lakini BWANA, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
2 Wafalme 17:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hilo agano nililofanya nanyi, msilisahau; wala msiche miungu mingine; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wala msisahau agano nililofanya nanyi; msiiabudu miungu mingine, bali Biblia Habari Njema - BHND wala msisahau agano nililofanya nanyi; msiiabudu miungu mingine, bali Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wala msisahau agano nililofanya nanyi; msiiabudu miungu mingine, bali Neno: Bibilia Takatifu Msisahau agano nililofanya nanyi, wala msiabudu miungu mingine. Neno: Maandiko Matakatifu Msisahau agano nililofanya nanyi, wala msiabudu miungu mingine. BIBLIA KISWAHILI Na hilo agano nililofanya nanyi, msilisahau; wala msiche miungu mingine; |
lakini BWANA, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
Jihadharini nafsi zenu, msije mkalisahau agano la BWANA, Mungu wenu, alilolifanya nanyi, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa umbo la kitu chochote ulichokatazwa na BWANA, Mungu wenu,
kisha niliwaambia, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu; msiiche miungu ya Waamori, ambayo mnakaa katika nchi yao; lakini hamkuitii sauti yangu.