2 Timotheo 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Erasto alibaki Korintho. Trofimo nilimwacha huku Mileto, mgonjwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa. Biblia Habari Njema - BHND Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa. Neno: Bibilia Takatifu Erasto alibaki Korintho, nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. Neno: Maandiko Matakatifu Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. BIBLIA KISWAHILI Erasto alibaki Korintho. Trofimo nilimwacha huko Mileto, mgonjwa. |
Na Krispo, mkuu wa sinagogi, akamwamini Bwana pamoja na nyumba yake yote. Wakorintho wengi waliposikia, waliamini, wakabatizwa.
Akatuma watu wawili miongoni mwa wale waliomtumikia kwenda Makedonia, nao ni Timotheo na Erasto, yeye mwenyewe akakaa katika Asia kwa muda.
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.
Watu hawa wakafuatana naye, Sopatro Mberea, mwana wa Piro, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thesalonike; na Gayo mtu wa Derbe, na Timotheo; na Tikiko na Trofimo watu wa Asia.
Kwa maana walikuwa wamemwona Trofimo, Mwefeso, pamoja naye mjini, ambaye walidhania ya kuwa Paulo amemwingiza katika hekalu.
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [