Bwana awape rehema wale walio wa jamaa wa Onesiforo; maana mara nyingi aliniburudisha, wala hakuuonea haya mnyororo wangu;
2 Timotheo 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii na kunipata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Biblia Habari Njema - BHND ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Neno: Bibilia Takatifu Badala yake, alipokuwa Rumi alinitafuta kwa bidii hadi akanipata. Neno: Maandiko Matakatifu Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. BIBLIA KISWAHILI bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii na kunipata. |
Bwana awape rehema wale walio wa jamaa wa Onesiforo; maana mara nyingi aliniburudisha, wala hakuuonea haya mnyororo wangu;
Bwana na amjalie ili kwamba apate rehema machoni pa Bwana siku ile. Na jinsi alivyonihudumia kwa mengi huko Efeso, wewe unajua sana.