Yeye ni mnara wa wokovu kwa mfalme wake; Amfanyia fadhili masihi wake, Kwa Daudi na wazawa wake, hata milele.
2 Samueli 22:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Biblia Habari Njema - BHND “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo nitakusifu, Ee Mwenyezi Mungu, kati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo nitakusifu, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako. BIBLIA KISWAHILI Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. |
Yeye ni mnara wa wokovu kwa mfalme wake; Amfanyia fadhili masihi wake, Kwa Daudi na wazawa wake, hata milele.
tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.