Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
2 Samueli 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha Daudi akaambiwa hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Biblia Habari Njema - BHND Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Neno: Bibilia Takatifu Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya, Neno: Maandiko Matakatifu Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aiya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya, BIBLIA KISWAHILI Kisha Daudi akaambiwa hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli. |
Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
Naye Rispa, binti Aya, akatwaa nguo ya magunia akajitandikia mwambani, tangu mwanzo wa mavuno hadi waliponyeshewa mvua toka mbinguni; wala hakuacha ndege wa angani kukaa juu yao mchana, wala wanyama wa mwitu usiku.
Akaenda Daudi, akaitwaa mifupa ya Sauli na mifupa ya Yonathani mwanawe mikononi mwa watu wa Yabesh-gileadi; waliyoiiba katika njia ya Beth-sheani, hapo Wafilisti walipowatungika, katika siku hiyo waliyomwua Sauli huko Gilboa;