Na Waamoni walipoona ya kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, Waamoni wakatuma na kuwaajiri Washami wa Bethrehobu, na Washami wa Soba, askari elfu ishirini, na mfalme wa Maaka mwenye watu elfu moja, na watu wa Tobu watu elfu kumi na mbili.
2 Samueli 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye Daudi aliposikia akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Biblia Habari Njema - BHND Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Neno: Bibilia Takatifu Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Neno: Maandiko Matakatifu Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. BIBLIA KISWAHILI Naye Daudi aliposikia akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. |
Na Waamoni walipoona ya kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, Waamoni wakatuma na kuwaajiri Washami wa Bethrehobu, na Washami wa Soba, askari elfu ishirini, na mfalme wa Maaka mwenye watu elfu moja, na watu wa Tobu watu elfu kumi na mbili.
Waamoni wakatoka, wakapanga vita mahali pa kuingilia lango; na Washami wa Soba, na wa Rehobu, na watu wa Tobu, na wa Maaka, walikuwa peke yao uwandani.