Na wana wa Amoni walipoona ya kwamba Washami wamekimbia, wakakimbia nao mbele ya Abishai, wakaingia mjini. Ndipo Yoabu akarudi kutoka kwa wana wa Amoni, akaja Yerusalemu.
2 Samueli 10:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakakusanyika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Waaramu kuona wameshindwa na Israeli, wakajikusanya tena. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Waaramu kuona wameshindwa na Israeli, wakajikusanya tena. BIBLIA KISWAHILI Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakakusanyika. |
Na wana wa Amoni walipoona ya kwamba Washami wamekimbia, wakakimbia nao mbele ya Abishai, wakaingia mjini. Ndipo Yoabu akarudi kutoka kwa wana wa Amoni, akaja Yerusalemu.
Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng'ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Tena Daudi akampiga Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba, alipokwenda kujipatia tena mamlaka yake huko Mtoni.
walizima nguvu za moto, waliokoka kutoka kwa makali ya upanga. Walitiwa nguvu baada ya kuwa dhaifu, walikuwa hodari katika vita, walikimbiza majeshi ya wageni.
Kisha ikawa, hapo huyo Yabini, mfalme wa Hazori, aliposikia habari ya mambo hayo, akatuma mjumbe aende kwa Yobabu, mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na mfalme wa Akshafu,
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.