Naye Hiramu akamletea merikebu kwa mikono ya watumishi wake, na watumishi waliokuwa wanamaji; nao wakafika Ofiri pamoja na watumishi wa Sulemani, wakachukua kutoka huko talanta mia nne na hamsini za dhahabu, wakamletea mfalme Sulemani.
2 Mambo ya Nyakati 9:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ni talanta mia sita sitini na sita za dhahabu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Biblia Habari Njema - BHND Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Neno: Bibilia Takatifu Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta mia sita sitini na sita (666), Neno: Maandiko Matakatifu Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, BIBLIA KISWAHILI Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ni talanta mia sita sitini na sita za dhahabu; |
Naye Hiramu akamletea merikebu kwa mikono ya watumishi wake, na watumishi waliokuwa wanamaji; nao wakafika Ofiri pamoja na watumishi wa Sulemani, wakachukua kutoka huko talanta mia nne na hamsini za dhahabu, wakamletea mfalme Sulemani.
Mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba kila kitu alichokitaka na zaidi ya vile alivyomletea mfalme. Basi akarudi, akaenda zake katika nchi yake, yeye na watumishi wake.
Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Na aishi maisha marefu! Na wampe dhahabu ya Sheba; Na wamwombee daima; Na kumbariki mchana kutwa.