Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,
2 Mambo ya Nyakati 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi. Biblia Habari Njema - BHND na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi. Neno: Bibilia Takatifu Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa, na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi. Neno: Maandiko Matakatifu Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi. BIBLIA KISWAHILI Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi. |
Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,
Tena akaujenga Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye boma, yenye kuta, na malango, na makomeo;
Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.