Akatengeneza vitako, akatengeneza na mabeseni juu ya vitako;
Hali kadhalika alitengeneza birika juu ya magari,
vishikio pamoja na masinia yake;
mafahali kumi na wawili chini yake.