Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote.
2 Mambo ya Nyakati 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Likawa neno jema machoni pa mfalme, na kusanyiko lote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Biblia Habari Njema - BHND Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Neno: Bibilia Takatifu Mpango huu ukaonekana wafaa kwa mfalme na kusanyiko lote. Neno: Maandiko Matakatifu Mpango huu ukaonekana wafaa kwa mfalme na kusanyiko lote. BIBLIA KISWAHILI Likawa neno jema machoni pa mfalme, na kusanyiko lote. |
Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote.
Kwa sababu hawakuweza kuifanya wakati ule, kwa kuwa makuhani wa kutosha walikuwa hawajajitakasa, wala watu hawajakusanyika huko Yerusalemu.
Basi wakafanya amri kupiga mbiu kati ya Israeli yote, toka Beer-sheba mpaka Dani, ya kwamba watu waje wamfanyie Pasaka BWANA, Mungu wa Israeli, huko Yerusalemu; maana tangu siku nyingi hawakuifanya kama vile ilivyoandikwa.