Alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na miwili huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.
2 Mambo ya Nyakati 26:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake. Biblia Habari Njema - BHND Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake. Neno: Bibilia Takatifu Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, vile Amazia baba yake alivyofanya. Neno: Maandiko Matakatifu Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya. BIBLIA KISWAHILI Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye. |
Alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na miwili huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.
Uzia alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na miwili; na jina la mamaye aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.
Akajitia nia amtafute Mungu katika siku za Zekaria, aliyekuwa na fahamu katika maono ya Mungu; na muda alipomtafuta BWANA, Mungu alimfanikisha.
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, kama alivyofanya Uzia babaye; isipokuwa hakuingia hekaluni mwa BWANA. Lakini watu waliendelea kufanya maovu.