Wakapiga mbiu katika Yuda na Yerusalemu, kumletea BWANA kodi aliyoiweka Musa mtumishi wa Mungu, juu ya Israeli jangwani.
2 Mambo ya Nyakati 24:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi mfalme akaamuru, nao wakatengeneza kasha, wakaliweka nje langoni pa nyumba ya BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa amri ya mfalme, likatengenezwa kasha, nalo likawekwa nje kwenye lango la Hekalu la Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa amri ya mfalme, likatengenezwa kasha, nalo likawekwa nje kwenye lango la Hekalu la bwana. BIBLIA KISWAHILI Basi mfalme akaamuru, nao wakatengeneza kasha, wakaliweka nje langoni pa nyumba ya BWANA. |
Wakapiga mbiu katika Yuda na Yerusalemu, kumletea BWANA kodi aliyoiweka Musa mtumishi wa Mungu, juu ya Israeli jangwani.
Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi.