Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia Maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.
2 Mambo ya Nyakati 24:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la bwana. BIBLIA KISWAHILI Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu. |
Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia Maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.
Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya BWANA wamewapatia Mabaali.