2 Mambo ya Nyakati 24:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike. Biblia Habari Njema - BHND Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike. Neno: Bibilia Takatifu Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike. Neno: Maandiko Matakatifu Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike. BIBLIA KISWAHILI Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike. |
Lakini Yehoyada akawa mzee, mwenye siku nyingi, akafa; alipokufa alikuwa na umri wa miaka mia moja na thelathini.