Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
2 Mambo ya Nyakati 24:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ya Yehoyada kuhani. Neno: Maandiko Matakatifu Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ya Yehoyada kuhani. BIBLIA KISWAHILI Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani. |
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;
Bali mwenye haki atakapoghairi, na kuiacha haki yake, na kutenda uovu, na kufanya machukizo yote kama yale afanyayo mtu mwovu, je, ataishi? Katika matendo yake yote ya haki aliyoyatenda halitakumbukwa hata mojawapo. Katika kosa lile alilolikosa, naam, katika dhambi yake aliyoitenda, atakufa.