2 Mambo ya Nyakati 20:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake. Biblia Habari Njema - BHND Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake. Neno: Bibilia Takatifu Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakuenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa bwana. BIBLIA KISWAHILI Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA. |
Lakini mahali pa juu hapakuondolewa katika Israeli; ila moyo wake Asa ulikuwa mkamilifu siku zake zote.
Yehoshafati alipoanza kutawala Yuda; alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano, huko Yerusalemu, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.
Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; wala mioyo ya watu bado haijakazwa kwa Mungu wa baba zao.