Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na waashi, na maseremala, ili wamjengee nyumba.
2 Mambo ya Nyakati 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Sulemani akahesabu watu elfu sabini wawe wapagazi, na watu elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipanga wanaume 70,000 wawe wachukuzi wa mizigo, 80,000 wawe wachonga mawe milimani na wengine 3,600 wawe wasimamizi wao. Biblia Habari Njema - BHND Alipanga wanaume 70,000 wawe wachukuzi wa mizigo, 80,000 wawe wachonga mawe milimani na wengine 3,600 wawe wasimamizi wao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipanga wanaume 70,000 wawe wachukuzi wa mizigo, 80,000 wawe wachonga mawe milimani na wengine 3,600 wawe wasimamizi wao. Neno: Bibilia Takatifu Sulemani akaandika watu elfu sabini kuwa wachukuzi wa mizigo, na watu elfu themanini kuwa wachonga mawe vilimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao. Neno: Maandiko Matakatifu Sulemani akaandika watu 70,000 kuwa wachukuzi wa mizigo, na watu 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na watu 3,600 kuwa wasimamizi wao. BIBLIA KISWAHILI Sulemani akahesabu watu elfu sabini wawe wapagazi, na watu elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao. |
Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na waashi, na maseremala, ili wamjengee nyumba.
Katika hao akawaweka elfu sabini wawe wapagazi na elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na elfu tatu na mia sita wewe wasimamizi ili wawahimize watu kazini.
Wakuu waliwaambia, Waacheni wawe hai; basi wakawa wenye kupasua kuni, na wenye kuteka maji, kwa ajili ya mkutano wote; vile vile kama hao wakuu walivyowaambia.