Pigano likazidi siku ile; lakini mfalme wa Israeli akajitegemeza garini juu ya Washami hata jioni; akafa kama wakati wa kuchwa kwa jua.
2 Mambo ya Nyakati 19:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yehoshafati mfalme wa Yuda akarudi Yerusalemu nyumbani kwake kwa amani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu. Neno: Bibilia Takatifu Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu. Neno: Maandiko Matakatifu Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu. BIBLIA KISWAHILI Yehoshafati mfalme wa Yuda akarudi Yerusalemu nyumbani kwake kwa amani. |
Pigano likazidi siku ile; lakini mfalme wa Israeli akajitegemeza garini juu ya Washami hata jioni; akafa kama wakati wa kuchwa kwa jua.
Yehu mwana wa Hanani mwonaji akatoka kwenda kumlaki, akamwambia mfalme Yehoshafati, Je! Imekupasa kuwasaidia waovu, na kuwapenda wamchukiao BWANA? Kwa ajili ya hayo ghadhabu itokayo kwa BWANA i juu yako.