Na siku alizotawala Yeroboamu zilikuwa miaka ishirini na miwili; akalala na babaze, naye Nadabu mwanawe akatawala mahali pake.
2 Mambo ya Nyakati 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala Yeroboamu hakupata nguvu tena siku za Abiya; kisha BWANA akampiga, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa. Biblia Habari Njema - BHND Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa. Neno: Bibilia Takatifu Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye Mwenyezi Mungu akampiga Yeroboamu akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye bwana akampiga Yeroboamu akafa. BIBLIA KISWAHILI Wala Yeroboamu hakupata nguvu tena siku za Abiya; kisha BWANA akampiga, akafa. |
Na siku alizotawala Yeroboamu zilikuwa miaka ishirini na miwili; akalala na babaze, naye Nadabu mwanawe akatawala mahali pake.
Abiya akamfuata Yeroboamu, akamnyang'anya miji, Betheli na vijiji vyake na Yeshana na vijiji vyake, na Efroni na vijiji vyake.
Ila Abiya akapata nguvu, akaoa wake kumi na wanne, akazaa watoto wa kiume ishirini na wawili, na mabinti kumi na sita.
Mwanadamu, tazama, ninakuondolea kwa pigo moja tunu, mteule wa macho yako; walakini hutaomboleza wala kulia, wala yasichuruzike machozi yako.
Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na wadudu, akatokwa na roho.
Daudi akasema, Aishivyo BWANA, BWANA atampiga; au siku yake ya kufa itampata; atashuka kwenda vitani na kupotea.