Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.
2 Mambo ya Nyakati 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu, Abiya akaanza kutawala juu ya Yuda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu. Biblia Habari Njema - BHND Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu. Neno: Bibilia Takatifu Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda, Neno: Maandiko Matakatifu Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda, BIBLIA KISWAHILI Katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu, Abiya akaanza kutawala juu ya Yuda. |
Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.
Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza hadi za mwisho, je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
Rehoboamu akalala na babaze, akazikwa katika mji wa Daudi. Na Abiya mwanawe alitawala mahali pake.