Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,
2 Mambo ya Nyakati 11:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini neno la BWANA likamjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema: Biblia Habari Njema - BHND Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema: Neno: Bibilia Takatifu Lakini neno hili la Mwenyezi Mungu likamjia Shemaya mtu wa Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Lakini neno hili la bwana likamjia Shemaya mtu wa Mungu: BIBLIA KISWAHILI Lakini neno la BWANA likamjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema, |
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,
Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza hadi za mwisho, je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
Akaziamuru, kulingana na agizo la Daudi babaye, zamu za makuhani za kutumika, nao Walawi kwa kadiri ya malinzi yao, ili kusifu, na kuhudumu mbele ya makuhani, kama ilivyohitajiwa kila siku; tena mabawabu kwa zamu zao za kila mlango; maana ndivyo alivyoamuru Daudi mtu wa Mungu.
Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake.
Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, subira, upole.
Kisha mtu wa Mungu akamwendea Eli, akamwambia, BWANA asema hivi, Je! Mimi sikujidhihirisha nafsi yangu kwa nyumba ya baba yako, walipokuwa katika Misri, wakiitumikia nyumba ya Farao?