2 Mambo ya Nyakati 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawaambia, Mnirudie baada ya siku tatu. Watu wakaenda zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka. Biblia Habari Njema - BHND Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka. Neno: Bibilia Takatifu Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao. Neno: Maandiko Matakatifu Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao. BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Mnirudie baada ya siku tatu. Watu wakaenda zao. |
Baba yako alilifanya zito kongwa letu; basi sasa upunguze utumwa mgumu wa baba yako, na kongwa lake zito alilotutwika, nasi tutakutumikia.
Mfalme Rehoboamu akataka shauri kwa wazee, waliosimama mbele ya Sulemani baba yake, alipokuwa hai bado, akasema, Mnanipa shauri gani la kuwajibu watu hawa?
Usimwambie jirani yako, Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa; Nawe unacho kitu kile karibu nawe.