2 Mambo ya Nyakati 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Biblia Habari Njema - BHND Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Neno: Bibilia Takatifu Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.” Neno: Maandiko Matakatifu Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.” BIBLIA KISWAHILI Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. |
Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona.
Tena siku ile hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lolote atawapa kwa jina langu.