Nao walipandisha na kununua gari kutoka Misri kwa shekeli mia sita za fedha; na farasi kwa mia moja na hamsini, vivyo hivyo wakawauzia wafalme wote Wahiti na wafalme wa Shamu.
2 Mambo ya Nyakati 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao farasi, aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi; kila kundi na thamani yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Biblia Habari Njema - BHND Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Neno: Bibilia Takatifu Farasi wa Sulemani waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. Neno: Maandiko Matakatifu Farasi wa Sulemani waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. BIBLIA KISWAHILI Nao farasi, aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi; kila kundi na thamani yake. |
Nao walipandisha na kununua gari kutoka Misri kwa shekeli mia sita za fedha; na farasi kwa mia moja na hamsini, vivyo hivyo wakawauzia wafalme wote Wahiti na wafalme wa Shamu.
Ila asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa BWANA amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.