Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
1 Wakorintho 7:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri. Biblia Habari Njema - BHND Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri. Neno: Bibilia Takatifu Nasema haya kama ushauri na si amri. Neno: Maandiko Matakatifu Nasema haya kama ushauri na si amri. BIBLIA KISWAHILI Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri. |
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
Kuhusu wanawali sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kwa rehema za Bwana kuwa mwaminifu.
Lakini heri yeye zaidi akikaa kama alivyo; ndivyo nionavyo mimi, nami nadhani ya kuwa mimi nami nina Roho wa Mungu.
Ninenalo silineni agizo la Bwana, bali kama kwa upumbavu, katika ujasiri huu wa kujisifu.