1 Wakorintho 7:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Biblia Habari Njema - BHND Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu ya shida iliyopo sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo. BIBLIA KISWAHILI Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo. |
Ole wao wenye mimba na wanaonyonyesha katika siku hizo! Kwa kuwa kutakuwa na shida nyingi katika nchi, na hasira juu ya taifa hili.
Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo.
kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha nia yenu, wala msishtushwe, kwa roho, wala kwa neno, wala kwa barua inayodhaniwa kuwa ni yetu, kana kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwapo.
Kwa maana wakati umefika wa hukumu kuanza katika nyumba ya Mungu; na ikianza kwetu sisi, mwisho wao wasioitii Injili ya Mungu utakuwaje?