Mungu akamwambia katika ndoto, Nami nimejua ya kwamba kwa ukamilifu wa moyo wako umefanya hivi, ndipo nami nikakuzuia usinitendee dhambi, kwa hiyo sikukuacha umguse.
1 Wakorintho 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi; Biblia Habari Njema - BHND Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi; Neno: Bibilia Takatifu Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: “Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke.” Neno: Maandiko Matakatifu Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke. BIBLIA KISWAHILI Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. |
Mungu akamwambia katika ndoto, Nami nimejua ya kwamba kwa ukamilifu wa moyo wako umefanya hivi, ndipo nami nikakuzuia usinitendee dhambi, kwa hiyo sikukuacha umguse.
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
Macho yako na yaelekee shamba walivunalo, ufuatane nao; je! Sikuwaagiza vijana wasikusumbue? Tena, ukiona kiu, uende kwenye vyombo, nawe uyanywe waliyoyateka hao vijana.