1 Wakorintho 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Biblia Habari Njema - BHND Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Neno: Bibilia Takatifu Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. Neno: Maandiko Matakatifu Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. BIBLIA KISWAHILI Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu. |
Nanyi mwajivuna, wala hamkusikitika, ili kwamba aondolewe miongoni mwenu huyo aliyetenda jambo hilo.
naam, naomba kwamba nikiwapo, nisiwe na ujasiri kwa uthabiti ambao nahesabu kuwa nao juu ya wale wanaodhania ya kuwa sisi tunaenenda kwa jinsi ya mwili.
Maana nachelea, nisije nikawakuta si kama vile nitakavyo kuwakuta, nikaonekana kwenu si kama vile mtakavyo; nisije nikakuta labda fitina na wivu, na ghadhabu, na ugomvi, na masingizio, na manong'onezo, na majivuno, na ghasia;