1 Wakorintho 16:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Biblia Habari Njema - BHND Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Neno: Bibilia Takatifu Ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. Neno: Maandiko Matakatifu Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. BIBLIA KISWAHILI Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami. |
nami nitakapofika nitawatuma kwa barua wale mtakaowachagua, wachukue hisani yenu mpaka Yerusalemu.
Lakini nitakuja kwenu, nikiisha kupita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.
Wala si hivyo tu, bali alichaguliwa na makanisa asafiri pamoja nasi katika jambo la neema hii, tunayoitumikia, ili Bwana atukuzwe, ukadhihirike utayari wetu.
wakituomba sana pamoja na kutusihi kuhusu neema hii, na shirika hili la kuwahudumia watakatifu.