Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
1 Wakorintho 16:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi. Biblia Habari Njema - BHND Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi. Neno: Bibilia Takatifu Neema ya Bwana Isa iwe nanyi. Neno: Maandiko Matakatifu Neema ya Bwana Isa iwe nanyi. BIBLIA KISWAHILI Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi. |
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [