1 Wakorintho 16:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hii ni salamu yangu Paulo kwa mkono wangu mwenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe. Biblia Habari Njema - BHND Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe. Neno: Bibilia Takatifu Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Hii ni salamu yangu Paulo kwa mkono wangu mwenyewe. |
Naandika salamu yangu mimi Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni kufungwa kwangu. Neema na iwe pamoja nanyi.
Salamu zangu mimi Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndiyo alama katika kila barua yangu, ndio mwandiko wangu.
Mimi Paulo nimeandika kwa mkono wangu mwenyewe, mimi nitalipa. Sikuambii kwamba nakudai hata nafsi yako.