Wakaondoka saa ile ile, wakarejea Yerusalemu, wakawakuta wale kumi na mmoja wamekutanika, wao na wale waliokuwa pamoja nao,
1 Wakorintho 15:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC baadaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadaye alimtokea Yakobo kisha akawatokea mitume wote. Biblia Habari Njema - BHND Baadaye alimtokea Yakobo kisha akawatokea mitume wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadaye alimtokea Yakobo kisha akawatokea mitume wote. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote. BIBLIA KISWAHILI baadaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; |
Wakaondoka saa ile ile, wakarejea Yerusalemu, wakawakuta wale kumi na mmoja wamekutanika, wao na wale waliokuwa pamoja nao,
Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.
Naye akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Kampasheni Yakobo na wale ndugu habari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.