mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
1 Wakorintho 15:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho. Biblia Habari Njema - BHND Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho. Neno: Bibilia Takatifu Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho. BIBLIA KISWAHILI Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. |
mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa kiumbe aliye hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.