Nao walipokuwa wakienda, alilala usingizi. Ikashuka tufani juu ya ziwa, mashua ikaanza kujaa maji, wakawa katika hatari.
1 Wakorintho 15:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na sisi, kwa nini tumo hatarini kila saa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na sisi, ya nini kujitia hatarini kila saa? Biblia Habari Njema - BHND Na sisi, ya nini kujitia hatarini kila saa? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na sisi, ya nini kujitia hatarini kila saa? Neno: Bibilia Takatifu Nasi kwa upande wetu kwa nini tunajihatarisha kila saa? Neno: Maandiko Matakatifu Nasi kwa upande wetu kwa nini tunajihatarisha kila saa? BIBLIA KISWAHILI Na sisi, kwa nini tumo hatarini kila saa? |
Nao walipokuwa wakienda, alilala usingizi. Ikashuka tufani juu ya ziwa, mashua ikaanza kujaa maji, wakawa katika hatari.
Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?
Naam, ndugu, kwa huku kujisifu kwangu niliko nako juu yenu katika Kristo Yesu Bwana wetu, ninakufa kila siku.
kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;
Nami, ndugu zangu ikiwa ninahubiri habari ya kutahiriwa, kwa nini ningali ninaudhiwa? Kwa kufanya hivyo kikwazo cha msalaba kimeondolewa!