1 Wakorintho 14:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali mtu huyo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali mtu huyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali mtu huyo. Neno: Bibilia Takatifu Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa. BIBLIA KISWAHILI Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga. |
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.