1 Wakorintho 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana ni kweli, wewe washukuru vema, bali yule mwingine hajengwi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sala yako ya shukrani yaweza kweli kuwa bora, lakini huyo mwingine haitamfaidia. Biblia Habari Njema - BHND Sala yako ya shukrani yaweza kweli kuwa bora, lakini huyo mwingine haitamfaidia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sala yako ya shukrani yaweza kweli kuwa bora, lakini huyo mwingine haitamfaidia. Neno: Bibilia Takatifu Mnaweza kuwa mnatoa shukrani kweli, sawa, lakini huyo mtu mwingine hajengeki. Neno: Maandiko Matakatifu Mnaweza kuwa mnatoa shukrani kweli, sawa, lakini huyo mtu mwingine hajengeki. BIBLIA KISWAHILI Maana ni kweli, wewe washukuru vema, bali yule mwingine hajengwi. |
Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini zaidi sana mpate kutoa unabii, maana yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko yeye anenaye kwa lugha, isipokuwa afasiri, ili kusudi kanisa lipate kujengwa.
Ila sasa, ndugu, nikija kwenu na kunena kwa lugha, nitawafaidia nini, isipokuwa nasema nanyi kwa njia ya ufunuo, au kwa njia ya elimu, au kwa njia ya hotuba, au kwa njia ya fundisho?