1 Wakorintho 12:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena kuna huduma tofauti, na Bwana ni yeye yule. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja. Biblia Habari Njema - BHND Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja. Neno: Bibilia Takatifu Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule. Neno: Maandiko Matakatifu Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule. BIBLIA KISWAHILI Tena kuna huduma tofauti, na Bwana ni yeye yule. |
Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli akihubiri Habari Njema ya amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),
Kisha kuna uwezo tofauti wa kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.