na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine fasiri za lugha;
1 Wakorintho 12:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Biblia Habari Njema - BHND Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Neno: Bibilia Takatifu Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? Neno: Maandiko Matakatifu Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? BIBLIA KISWAHILI Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? |
na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine fasiri za lugha;
Na Mungu ameweka wengine katika kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, aina za usaidizi, maongozi na aina za lugha.
mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja;