Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.
1 Wakorintho 12:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja. Biblia Habari Njema - BHND Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja. Neno: Bibilia Takatifu Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja. Neno: Maandiko Matakatifu Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja. BIBLIA KISWAHILI Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja. |
Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.
Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.
Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.